+255 688 373 652 info@diaspora.co.tz Event Date: 23rd Aug 2017
+255 688 373 652 info@diaspora.co.tz Event Date: 23rd Aug 2017

Blog

KONGAMANO LA NNE KWA WATANZANIA WAISHIO NJE (DIASPORA TANZANIA) KUFANYIKA ZANZIBAR AGOST 23 NA 24

Taarifa kwa vyombo vya habari Diaspora Tanzania Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kufanya Kongamano la nne la kitaifa la Watanzania wanaoishi Ughaibuni (4th Tanzania Diaspora Conference) kuanzia tarehe 23 hadi 24, hapa Zanzibar.   Kongamano hilo ni mwendelezo wa makongamano matatu ya awali yaliyofanyika […]

WATANZANIA WAISHIO NJE WAASWA KUTOJIHUSISHA NA DAWA ZA KULEVYA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wanaoishi nje ya nchi wazingatie sheria za Taifa husika na kamwe wasijihusishe na biashara haramu ya dawa za kulevya. “Vita ya dawa za kulevya ni kubwa, hata hivyo Serikali tunaendelea kupambana nayo. Nchi ilikuwa inapoteza vijana ambao walikuwa wamejiingiza katika biashara haramu ya dawa za kulevya. Nawaomba msithubutu kuingia […]

Balozi wa Tanzania Nchini Ujerumani Mhe Philip Marmo Amvisha Cheo Kanali wa JWTZ jijini Berlin

Katika hali ambayo haijazoeleka na iliyoonekana kuwa ngeni, Balozi wa Tanzania Mhe. Philip Marmo alimvisha Cheo Kanali Joseph Bakari aliyepandishwa Cheo hivi karibuni kutoka Luteni kanali. Hafla hiyo fupi iliyohudhuriwa na ujumbe wa Watanzania waliohudhuria Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Jijini Berlin Ujerumani akiwemo Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi […]