+255 688 373 652 info@diaspora.co.tz Event Date: 23rd Aug 2017
+255 688 373 652 info@diaspora.co.tz Event Date: 23rd Aug 2017

By

diaspora
REGISTER FOR 4TH DIASPORA CONFERENCE Click the Link to get the Press Release: Press Release. Kongamano la Nne la Diaspora Kufanyika Zanzibar Tarehe 23 na 24 Agosti, 2017
Read More
Taarifa kwa vyombo vya habari Diaspora Tanzania Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kufanya Kongamano la nne la kitaifa la Watanzania wanaoishi Ughaibuni (4th Tanzania Diaspora Conference) kuanzia tarehe 23 hadi 24, hapa Zanzibar.   Kongamano hilo ni mwendelezo wa makongamano matatu ya awali yaliyofanyika...
Read More
Aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Philip Marmo ameagwa rasmi jana na viongozi wa Vatican, balozi huyo aliyekuwa na makazi yake jijini Berlin, alikuwa anahudumu nchi 10 na nafasi yake hivi sasa itashikiliwa na balozi Abdalah Possi ambaye aliapishwa jana na Rais Dk John Magufuli.   Balozi Philip Marmo akiagana na Mkuu wa Mambo ya...
Read More
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wanaoishi nje ya nchi wazingatie sheria za Taifa husika na kamwe wasijihusishe na biashara haramu ya dawa za kulevya. “Vita ya dawa za kulevya ni kubwa, hata hivyo Serikali tunaendelea kupambana nayo. Nchi ilikuwa inapoteza vijana ambao walikuwa wamejiingiza katika biashara haramu ya dawa za kulevya. Nawaomba msithubutu kuingia...
Read More
Katika hali ambayo haijazoeleka na iliyoonekana kuwa ngeni, Balozi wa Tanzania Mhe. Philip Marmo alimvisha Cheo Kanali Joseph Bakari aliyepandishwa Cheo hivi karibuni kutoka Luteni kanali. Hafla hiyo fupi iliyohudhuriwa na ujumbe wa Watanzania waliohudhuria Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Jijini Berlin Ujerumani akiwemo Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi...
Read More

4th Tanzania Diaspora Conference 2017

The Forum  is expected to attract about 400 participants, among them, Tanzanians living abroad and returnees and stakeholders from public and private sector as well as members of the society who have made big contribution towards mobilization of members of Diaspora in national building.